A KENYAN human trafficker has been jailed for attempting to sell an Albino man to Witch doctors. Nathan Mutei, 28, Pleaded guilty to abduction and human trafficking.He was sentenced to 17 years in Prison and a fine of over $50,000 {£32,000} by a magistrates court in TANZANIA. Police reportedly said they arrested Mutel just outside the town of Mwanza in a sting operation,disguising themselves as businessmen in the Albino trade.They snared Mutei when he tried to sell Robinson Mkwana,a fellow kenyan,for more than $250,000{£160,200}.Mkwana spoke of how Mutei lured him with job offers whilst bargaining with witch doctors who would have had him killed.He said: 'he told me there were jobs in Kenya. But he just wanted to trade me in.'In TANZANIA, witch doctors use Albino bodies and bones in potions they tell clients will endow them with health,beauty or riches.The trade has claimed dozens of victims,and has spread to neighbouring Burundi, where 11 have been killed in the past year and communities of Albinos have been frightened into hiding.Of 170,000 Albinos in TANZANIA,at least 53 have been killed since 2007.Authorities in the country have said they will clamp down on traffickers,sentencing several people to death in connection with the murders. Mutei's imprisonment has been taken as a sign that authorities are combating the trade.the secretary general of the TANZANIA Albino Society,Zihada Ali Msembo,said: 'We are happy with the quick conclusion of the trial,because these cases have been dragging on for too long.'However, there was some disappointment that Mutei's jail terms will run concurrently,meaning he will only serve nine years behind bars. Msembo said:'This man should have been sentenced to life in prison because he knew very well that this poor Albino he was trying to sell would have been BUTCHERED.'
Friday
WAKAZI AND GWAII PERFORM AT WORLD AFRICAN FESTIVAL IN DETROIT.
2 artists from Tanzania, Gwaii and Wakazi performed at the Annual World African Festival in Detroit this last Saturday. The event takes place every year with dancing group displays, poetry, art display as well as live performances by bands from all over the world. Gwaii also known as Gwaii Thyword (Actor/Singer), has been creating a lot of buzz in the Midwest area with his combination of music, dancing and spoken word.
The buzz was big enough to earn him a spot as one of the performers at the festival, where he put on a show worth while. Accompanying him to the stage, was a string of collaborators, namely Amber (singer), Kodac (American rapper), Mama Ayo (Poetress) and Wakazi (Tanzanian rapper) with whom he performed 2 of their collaborative work namely "Welcome " and "Cheza" both produced by John Mahundi. With a show like the one they did this saturday, look forward to hearing these artists names in the mainstream as they are bound to become household names.
Thursday
JCB-Kuuza Album yake mkononi
JCB
Msanii wa kizazi kipya Jacob Makalla a.k.a JCB ambaye anatamba na track yake inayozidi kuwa juu kila siku zinavyozidi kwenda ya Ukisikia Paah remix ambayo amewashirikisha wasanii wa Hip Hop Fid Q, Jay Moe na Chidi Beenz amesema mashabiki wake wategemee makubwa na Mengi kutoka kwake.
Msanii huyo amejigamba kwa kuachia albam yenye jumla ya nyimbo 16 huku akielezea ukimya wake kuwa kujipanga upya na sasa amerudi madini ya ajabu. Kwa sasa nina mistari ya ajabu,wapinzani wake Mjifiche!’ Alisema msanii JCB.
JCB amezitaja baadhi ya nyimbo zilizomo kwenye albamu hiyo kuwa ni Movement of silence,Kijiti,Kijenge ya juu,Usinitafute,Prison break,Ninapo,arusha na nyinginezo,anasema na kuongeza kuwa albamu hiyo imerekodiwa ndani ya studio za Watengwa chini ya prodyuza David Bakari a.k.a Daz.
JCB anayetokea pande za Arusha hususan kundi la Watengwa, alisema kuhusu kundi hilo kwamba,wamepunguza speed kwani baadhi ya wasanii hao wako safarini Sweden akiwemo Chindo man.
Aliongezea kwamba hakuna kitu kilicho haribika kwani ni muda mfupi watakuwa wameshatimba Arusha na hapo ndipo wataanza kuachia vitu vile vilivyo sababishsha tukawa kimya.
JCB amebainisha kuwa albamu hiyo iliyojaa kila aina ya maudhui inauzwa buku kumi tu.Ukiitaka basi wasiliana nae kwa namba yake ya kiganjani
0713641677
0784641677
WASANII MNALALA SANA - A.Y
A.Y
AY anakuwa news siku ya leo huku akilalamika kuwa wasanii wa kibongo wamelala mnoo na kama wakiendelea hivyo hawataambulia chochote zaidi ya kubaki kulalamika kila kukicha.
Msela huyu anayefanya vyema kunako sanaa hapa Afrika Mashariki anasema wasanii wengi wa humu nchini wamezubaa na hawana uchu wa maendeleo ya kutaka kujua kinachoendelea sayari nyingine.
"Ukiangalia hali ilivyo utaona kabisa watu hawana uchu wa maendeleo, wapo wapo tu. Yaani wanachukulia vitu kirahisi mno tofauti na hali ya mambo ilivyo,"anasema msanii huyo ambaye anaachia singo yake ya 'dakika moja' hivikaribuni.
"Ili kupata mafanikio ya kweli msanii unatakiwa kutoka na kuchanganyika na wenzako kujua nini kinaendelea na wanafanya nini, ndiyo maana unaona mimi napata shoo Rwanda, Kenya, Uganda.
"Niko karibu na watu wengi na kazi zangu zinapigwa sana kule kwavile nimejitangaza kikamilifu na nina mtandao mkubwa kuanzia kwa wasanii mpaka mapromota mbalimbali na hilo siwezi kufanikiwa kama sikujituma.
"Angalia wenzetu wanavyokuja Tanzania kwa kasi kufanya shoo na kukusanya fedha, hii ni kutokana na juhudi zao na ubunifu. Naweza kukwambia katika wasanii wote wa nje wanaokuja hapa ni vigumu kukuta wasanii wetun wa Tanzania wakitaka kujifunza kutoka kwao hata kubadilishana namba au hata njia zozote za mawasiliano ili kesho na keshokutwa wafanye kazi pamoja.
"Namna hii hatuendi tutazidi kubaki hapahapa na hilo si jambo zuri kwa maendeleo ya msanii, unatakiwa kujifunza na kuwa na mtandao mkubwa mimi kazi zangu zinasikika Nigeria kwavile wasanii kama P-Square, J Martin niko karibu nao sana na nimefanya nao kazi.
"Lakini nisingeweza kufika huko kama ningekuwa muoga au nisingekuwa mtu wa kujichanganya na kupenda kujifunza,"anasema msanii huyo wa zamani wa East Coast.
Sunday
M.2.S TUMEPOKEA MPANGO MZIMA KUTOKA {Urban Pulse Creative}.
Ningependa kuwataarifu wadau wote kuwa video ya kuhusu tamasha la kuchangia utafiti wa Cancer Uk iko tayari na unaweza kuipiga chabo hapo JUU au kwa kubofya hiyo link hapo chini.
http://www.youtube.com/watch?v=wqt9Gpw2u64&feature=player_embedded
Mgeni rasmi alikuwa Msanii Mahiri Lady Ny ikiwa ni kusaidia kufanya harambee yakusaidia kuchangia Cancer Reserch UK kwa pamoja. Pia wasanii wa Urban Pulse walikuwepo na wengine kutoka sehemu mbalimbali walijitolea kujumuika katika tamasha hilo.
Hivyo basi kwa unyenyekevu mkubwa, heshima na taadhima zote utawala wa Urban Pulse Pammoja na M.2.S unawaomba na kuwasii wale wote ambao Mwenyezi Mungu Kawabariki na kuwagusa
Kuchangia kiasi chochote kupitia tovuti yao halisi ya Cancer Research Uk www.cancerresearchuk.org.
Wote Mbarikiwe.
http://www.youtube.com/watch?v=wqt9Gpw2u64&feature=player_embedded
Mgeni rasmi alikuwa Msanii Mahiri Lady Ny ikiwa ni kusaidia kufanya harambee yakusaidia kuchangia Cancer Reserch UK kwa pamoja. Pia wasanii wa Urban Pulse walikuwepo na wengine kutoka sehemu mbalimbali walijitolea kujumuika katika tamasha hilo.
Hivyo basi kwa unyenyekevu mkubwa, heshima na taadhima zote utawala wa Urban Pulse Pammoja na M.2.S unawaomba na kuwasii wale wote ambao Mwenyezi Mungu Kawabariki na kuwagusa
Kuchangia kiasi chochote kupitia tovuti yao halisi ya Cancer Research Uk www.cancerresearchuk.org.
Wote Mbarikiwe.
Saturday
{ JUNY MAN KUJA NA KIAPO }
PRISONTATION COMMIN SOON
MSANII MMOJA AENDAE KWA JINA LA BAJOUN RASHID a.k.a JUNY MAN..ALITEMBELEA OFISI YETU JUMAMOSI ASUBUHI NA KUMUELEZA MUANDISHI WETU KUWA ANATARAJIA KUDONDOSHA HOT DEBUTE SINGLE YAKE { KIAPO }FROM HIS HOT DEBUTE ALBAM{ PRISONTATION } TAREHE..10-09-2010..ALIPOUULIZWA NA MUANDISHI WETU VIPI ANALI RATE DONGO HILO.JUNY MAN ALISEMA''SIO JUU YANGU KUPITISHA JUDGEMENT,NI KAZI YA MASHABIKI''ILA 2 ALISISITIZA KUA DONGO HILO LINA UZITO WA MOTONI NA FULL LADHA YA PEPONI.NA PIA ALISEMA ANATARAJIA KUA JAMII ITAMPOKEA VIZURI NA YUKO MORE THAN REDY AND WILLING KUIWAKILISHA JAMII.ALIPOULIZWA KUHUSU VAGI{ BEEF }KATI YAKE NA DJ-Q...JUNY MAN ALIJIBU KUA''Q & I r BREDRINZ FROM WAY BACK WHEN,HE'S DOIN HIS TINGZ & I RATE HIM DA SAME WAY STIL, I DNT HAVE NOFIN WRONG AGAINTS HIM,BUT IF A MAN WILE OUT GWAAN GO ALONG MAN''.
ALIPOULIZWA KAMA ANATEGEMEA KUSHIRIKIANA NA MSANII HUYO IN THE FUTURE, JUNY MAN ALIJIBU KUA''JAMATI LISHAINGIA GOLO SIO,NI NGUMU KWA HATUA TULIYOFIKIA KUKA ZIZI MOJA'' MUANDISHI WETU ALIISHIA KWA KUSEMA''ALL THE BEST JUNY MAN KATIKA UZINDUZI WAKO.NA PIA TUNAHOPE KUA JAMII ITAKUPOKEA''KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU JUNY MAN,STAY TUNED WITH US...../...
EMINEM 'WOULD DATE' RIHANNA
RIHANNA and EMINEM
RAPPER EMINEM REPORTEDLY HAS A CRUSH ON SINGER RIHANNA, WITH WHOM HE TEAMED UP FOR THE SONG LOVE { THE WAY YOU LIE } A SOURCE REPORTEDLY SAID THE TWO ARE 'ON THE PHONE AND TEXTING EACH OTHER CONSTANTLY' AND THE RAPPER WOULD DATE RIHANNA'IN A HEARTBEAT IF SHE SHOWED EVEN THE SLIGHTTEST INTEREST'.RIHANNA IS CURRENLY DATING BASEBALL STAR MATT KEMP...
Wednesday
IMETUBIDI TUFANYE KAZI UPYAA KWA AJILI YA FANZ...WA {KITAAA}
BZY RHYMZ__Feat...CHEMICALI
BAADA YA MIEZI KAZAA KUPOTEA WAMERUDI TENA HAPA NDANI YA OFISI ZETU NA KUTUELEZA KUWA BADO WANAENDELEA KUPATA MALALAMIKO KUTOKA KWA WAPENZI WAO WALO WENGI WA MZIKI HUU WA HIP-HOP...CHEMICALI ALIWASILISHA HOJA HII KUWA KILA SIKU HESHI KULALAMIKIWA NA KUAMBIWA KUWA WANATAKA IRUDIWE UPYA NYIMBO HIO AMBAYO YENYE MICHANO YA AINA PEKE YAKE.NA KUIFANYA UPYA KWA KUTUMIA BEAT TOFAUTI NA ILE YA MWANZO AMBAYO KAMA INAVYOSIKILIKANA APO JUUU...MWANZO YA HAYA YOTE KUANZA NI PALE FANS WA M.2.S WALIPOKUA WAKISUBIRI VIDEO YA SINGLE HIYO AMBAYO ILIWAGUSA SANA MASELA WENGI WA KITAAA...PASIPO NA JIBU KAMILI KUTOKA KWA CHEMICALI ALIJITAHIDI KUWAAMBIA FANZ WAKE KUWA YEYE ALISHIRIKISHWA 2 KWENYE NYIMBO HIO NA { BZY RHYMZ } MSANII AMBAYE MWENYE MAKALI ZAIDI YA WEMBE ANAETOKEA KULE{ ZANZIBAR ISLAND } NA HAWANA AU HAWAKUPATA RUHUSA YEYOTE KUTOKA KWA MMILIKI WA BEAT HIYO AMBAYE NI { SNOOP DOGG }..KWANI WAO WALIICHUKULIA SINGLE HIYO KAMA NI MOJA 2 YA NYIMBO AMBAZO ZINAPATIKANA KWENYE MIX TAPE YA 507....ILA KWA KUWAJALI FANZ CHEMICALI TAYARI AMESHAWASILIANA NA BZY RHYMZ..NA MUDA SI MREFU MTAINYAKA HEWANI VIDEO YA NYIMBO HIYO AMBAYO ITAKUJA KWA JINA LILE LILE LA {WAKALI WA MTAAA }ILA ITASKIKA KWA BEAT TOFAUTI......JST KEEP VISITIN DE M.2.S SITE nawatakia ustahamilivu mwema.
Tuesday
TAKING NEWPORT TOO SERIOUSLY..!!
JAY-Z and ALICIA KEYS
BOO TO YOUTUBE AND MUSIC PUBLISHER EMI FOR HAVING THE BEST THING ON THE SOCIAL NETWORKING SITE FOR YEARS REMOVED.NEWPORT STATE OF MIND WAS A HILARIOUS SPOOF OF JAY-Z and ALICIA KEYS' HIT SINGLE__NEW YORK STATE OF MIND, EXCEPT INSTEAD OF FOCUSING ON LIFE IN THE BIG APPLE IT WAS TALKING ABOUT THE SMALL WELSH TOWN OF NEWPORT { THE BIG LEEK }.
IT WAS HILARIOUS.THE RAPPER AND SINGER WERE NOWHERE NEAR AS GOOD AS THE ORIGINAL STARS BUT THEY DID SUCH AN EXCELLENT JOB THAT THE VIDEO GOT TWO MILLION YOUTUBE HITS IN JUST TWO WEEKS.BUT EMI HAD TO GO AND SPOIL THE FUN BY ENFORCING THEIR COPYRIGHT.
FOR GOODNESS SAKE,COULDN'T THEY HAVE COME TO SOME ARRANGEMENT ABOUT THE ROYALTY FEES,AS ANY PUBLISHER WOUL? OR WERE EMI OR OTHERS AFRAID THAT THEIR BIG STARS WOULD NOT BE TAKEN SERIOUSLY AGAIN.THIS IS BECOMING INCREASINGLY THE CASE. YOU CAN'T TAKE THE MICKEY OUT OF POP STARS WITHOUT THEM GETTING THE HUMP AND USING THE LAW AND SOCIAL NETWORKING SITES TO HIT OUT.
I WAS LUCKY ENOUGH TO HAVE SEEN THE VIDEO.NOW THAT IT'S BEEN BANNED AND GONE UNDERGROUND YOU'RE GOING TO HAVE TO DO A LITTLE RESEARCH ON THE NET TO FIND IT.
Monday
NI MAWAZO 2 KUTOKA M.2.S___{ DONT EVER SHAVE YOUR'S }
WAPENZI WAKUU WA RASTA
VIBUYU VYA TUKUYU.VYAMUATHIRI MSANII HUYU,
MSANII MMOJA MKALI WA KIBONGLISH AJULIKANAE KAMA EDWARD KINDINGO HUNGA ama TANZ ONE.1,ALIWASHANGAZA WATU WENGI HIVI KARIBUNI KWA YALIYOMSIBU.ALIMVUNJA MBAVU MUANDISHI WETU HIVI KARIBUNI ALIPOTEMBELEA OFISI YETU NA LOCKS MKONONI,TANZ ONE ALISIMULIA KWA HOFU HUKU KIJASHO KIKIMCHURURIKA'huku akiniambia kuwa___MI NILIKUA NIMELALA KAMA USIKU WA MANANE HIVI, GHAFLA NIKALIONA JITU MOJA LIMENIJIA UKUBWA HALINA MFANO,LIKANIPA VITISHO NA KUNIFORCE NINYOE LOCKS AMA ATANIJUILISHA BIRTHDAY YA BIBI ILIKUA LINI'..JAMANI KIMTAZAMO WENU.HIVI NI KWELI INAEZEKANA HII AMA NI MADUDE TU YANAANZA KUMUATHIRI MSANII HUYU? MAONI YENU YANAKARIBISHWA..
NA KWA NINAVYOJUA MIMI
HAWA NI WAPENZI WAKUU WA RASTA NA HATMA YAKE...KWA KWELI RASTA IMEONEKANA NI KAMA VILE VAZI 2 LA NGUO,KWA VIJANA WENGI WA SIKU HIZI,MTU AKITAKA HUVAA NA ANAPOAMUA KULIVUA BASI HULIVUA TU..TOFAUTI KABISA NA ILIVYOKUA HAPO AWALI.KAMA TUNAVYOELEWA KILA CHENYE FAIDA BASI HAKIKOSI KUWA NA HASARA ZAKE VILE VILE..KWA MFANO,KIPINDI KIDOGO 2 BAADA YA UNYOWAJI WA RASTA ZA MUHESHIMIWA HUNGAZ.NILIPOKEA SIMU KUTOKA KWA HUNGA NA AKINI LALAMIKIA KUWA Namnukuu...VIPI MONSTER..DAAAH NIMEKUMBWA NA MIKOSI C YA KITOTO HUKU KITAAA....MAN NILIKLUWA NIPO ZA ZANGU..PUNDE C PUNDE NIKAKUTANA NA WATEMI FLANI HAPA BILA YA KUJIJUA NILISHTUKIA KITU 2 KIMENIDONDOKEA,BAADA YA KUJICHEKI NI NINI KILIKUA NASHTUKIA MIDAMU KIBAO KICHWANI...APO NDIPO NILIPOANZA KUUIJUA FAIDA YA RASTA ZANGU Ma Monster..ha ha ha ALIISHIA KWA KUCHEKA.
Sunday
THIS HOW E WENT DWN ON CANCER RESEARCH..{SATURDAY}
MANY THANKS TO EVERYONE 4 COMIN
THE URBAN PULSE TEAM WIV LADY..NY
SAFI SOUNDZ Frm {M.2.S}WIV BACKUP FRM JENNY MUM.
FIRST LADY OV URBAN PULSE {MISH}
ROTTWEILER
DJ...WAS WORKIN HARD
AFANDE SELE KUMUACHILIA SIMBA DUME BAADA YA UCHAGUZI MKUU.
AFANDE SELE {Baba Tunda}
Bongo Flava King, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, ameibuka na kusema kuwa, anatarajia kutoa wimbo mpya unaokwenda kwa Jina la ‘Simba dume’ baada ya uchaguzi mkuu 2010.
Afande Sele anasema ameamua kutoa wimbo huo baada ya uchaguzi kutokana na wahusika wengi wa sanaa kuwa kwenye mishemishe za zoezi hilo.
‘Nimeamua kutoa wimbo huu baada ya uchaguzi kutokana na shughuli za kisiasa zinazoendelea kwani wahusika wengi wapo kwenye mchakato huo,’ alisema Afande Sele.
Friday
CHE MIC ALI..Akiwa KWENYE PICHA YA PA MMOKO {1} NA ..YoungDucer-RUTHLESS..BAADA YA KUMALIZA KUTIA VOCAL ZAKE.
RUTHLESS N CHE MIC ALI
Namnukuu CHE MIC ALI Akisema...Kiukweli Mambo Yamekamilika Na Punde 2 Baada ya Mwezi Mtukufu wa RAMADHANI.Tunatarajia Kujipanga na Masuala yote Ya video.2 All ma FANZ wakae Tayari Kupokea The Real me....Chemicali aliishia
HATIMAYE SOLO THANG...KUINGILIA KATI {BEEF} LA JUNY MAN AND DJ-Q
SOLO THANG{ULAMAA}
JAMANI ndugu zangu taratibuni,Mnakolekea ni mbali mno
Mlikua marafiki na ndugu wa karibu mno,
kinachonistaajabisha mwatukanana mno...
MATUSI,VITISHO,MAJIGAMBO hayana mana,
Mnampa nani faida?..hayo sio mambo..
Nyie washkaji,kukosana ipo na kuamehe...ana Ndio inavyotakiwa...ikishindikana kila mtu ale na hamsini zake..kimya kimya sio matusi,na vitisho mtakuja toana roho!
Nineamua kuingilia sababu wote nawajua kama ndugu zangu na tuliishi vizuri..PLIIZ naomba YAISHIE HAPA!
JUNY MAN...KURUDISHA MAJIBU ON HIS DISS FROM DJ-Q
FROM DJ-Q..TO BIBI Q
Am very sory 2 ma FANZ... ila kwa sasa 2ruhusuni 2ukate huu mzizi wa fitna @ DJ-Q.. I lv u da most Q.. n dats y i have 2 kill u. Hakuna haja ya k...uenda jela wkt Mnyapara niko KITAA, 14 St Norbest Road . Brockley. LDN SE 4 1 LD. Cha muhimu ni kuniambia unakuja lini ili nisikumisi. Sema niandae bodybag ngapi kwa ajili yenu. tena fanya haraka uje maana nna kama mwezi cjafanya skendo lolote. Na kama utakuja b4 Ramadhani itakua pna maana nataka Jitu la kuvunjia jungu. Ila kama unaona icho Kinyesi chako mali poa 2 ntayapata nikishakuua. Au kama nije mimi sema 2 ila itakua noma wazee kuishudia maiti yako nitakavyoifanya.
KULIKONI BETWEEN___DJ-Q AND JUNY MANY...{DISS}
DJ-Q a.k.a KIBALAA{KBA}
WHOZ JUNY 2 ME..I DNT KNW!!!VIPI AWEZE KUYAFUPISHA MAISHA YANGU MIMI.NIMEKUWACHA KIMYA KWA USHENZI ULIO NIFANYIA, BADO UNAKUWA NA MDOMO WA KUNITISHIA MAISHA. MIYE SIYO MDOMO MREFU KAMA WEWE KAMA UNAYAWEZA INPATIE VO NITUKUJA JELA UCHUKUWE MAISHA YANGU, KAMA MWANAMME VITENDO MUME KIUNO,UNAZANIA MIE NAGOMBA KWA MANENO AU NASEMA MAMBO NNLOKUWA SIWEZI KUFANYA, KAMA MWANAMME WEWE NIALIKE UNIFANYIE HAPO JELA KAMA HUWEZI SHUT YOUR MOUTH MSENGE.
MIE SIONGEI TENA ILA NAKWENDA KUTAYARISHA JENEZA LANGU UNAYO NUMBER YANGU NIPO LEYTONSTONE. SAMAHANINI WASHAKAJI WOTE. HII SIYO KUHUSU MZIKI,JUNY NILIFIKIRI NI NDUGU YANGU WA KUFA NAKUZIKANA MPAKA NIKAMUAMINI UNDANI, AKAAMUA KU...WA UDUGU SI BORA ZAID YA MAHITAJI YAKE. SIKO HAPA KIMZIKI KIANGO CHAKO JUNY NAKIJUWA, UZURI WAKO KWENYE FUNNY NAUJUWA. NAKAMA {M2S} WAKALI NI UZURI...KWANI NILI WA BIG UP. MIE NATOTEKEA MJINI ZANZIBAR SIYO SHAMBA. STILL AFTER ...BADO NILI KUWA NAKUSIKILIZA KWENYE YOUTUBE. KIZURI HAKIJIFICHI. JUNY NI MKALI WA MASHAIRI NASEMA TENA. MASHAIRI. SIRI YA MZIKI TULOUFANYA PAMOJA MIE NA WEWE NDIYO TUNOIJUWA. KABLA HUJANIUWA NITAFANYA NYIMBO MOJA. ILI UPATE KUNIKUMBUKA KAMA MWALIMU. KARIBU ZIRAILI. TUMEMALIZA MANENO SASA WATU WANA SUBIRI KWENDA MAZIKONI KWANGU. CHEMICAL ALI SINA UGOMVI NA WEWE.
Thursday
M.2.S YAWATAKIA KILA LA KHERI NDANI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI..!
TYSON NDANI YA MAKKA
During the holy month of Ramadan, Muslims fast from dawn to dusk for the entire month, an act that brings joy and contentment to every Muslim who experiences the practice. We pray that this blessed month brings divine blessings to all of us.
This year,Muslims celebrate the month of fasting during some very challenging times. Islam and Muslims are under microscopic investigation. Every day new terms are coined to describe Islam. Sometimes, the believing Muslims are described as radical Islamists and Islamo-fascists. Often, our faith is linked with terror and we are accused of crimes that we ourselves discover when we open the front page of newspapers.
In times of difficulty, our only source of strength is our faith in the absolute power of God. We know that if we have His protection and guidance, we will be able to overcome all the challenges that surround us.
This month of Ramadan is giving us yet one more opportunity to re-dedicate ourselves to the absolute power of the divine and refocus our lives to worshipping Him and Him alone. Each of us can develop an individual plan to benefit from and we can all do something extra to earn some additional grace from God, the Almighty.
Here are a few suggestions that we can look into:
1. Let us make it a habit to visit the mosque as often as possible but atlas once a day with our families.
2. Let us make it a habit to break fast with fellow Muslims in the mosque at least once a week.
3. Let us invite our non-Muslim friends and neighbors to join us in the breaking of our fasts.
4. Let us pool our efforts and resources to feeding the homeless.
5. Let us be extra-generous and donate our money to worthy causes.
6. Let us encourage our children to offer taraweeh prayers with us at the mosque.
7. Let us at least try to complete reading the Quran with meaning once.
8. Let us ensure that we mend our relations with everyone regardless of the mistakes on the part of others.
9. Let us spend some time in seclusion at night praying to the Almighty.
10. Let us ensure that we will not hurt anyone and control our anger in all situations
12. Let us spend more time with our families especially in breaking the fast.
13. Let us make sure that we don't miss our Fajr prayer and pray all the other prayers on time.
14. Let us donate at least one book on Islam to a local library.
15. Let us ensure that we offer Zakat ul Fitr ahead of Eid prayers so that the poor and the needy can make use of it in an appropriate manner.
Let us place our trust in Allah in everything that we do. May Allah accept our ibada.
Wednesday
NDANI YA ''CIPHA HEADZ MUSIC'' RECORDING STUDIO
CIPHA HEADZ NI HEAVY WEIGHT SOUND ENGINEERS WENYE MAKAO MAKUU YAO PALE JIJINI BIRMIGHAM.JAHAZI HILI CHUMA..LISILOEZA KUWAMBA KIRAHISI LIPO CHINI YA UTAWALA WA WAPISHI{MAPRODUCER}WAKALI NA WA MFANO WAJULIKANAO KAMA FAROUK a.k.a DA BIG TUNEZ WIZARD ALONG SIDE K.B a.k.a KGB WA MAWE MANENE.WAPISHI HAWA WENYE EXPERIENCE YA UPISHI WA MAWE KWA ZAIDI YA MIAKA 10,WANAJULIKANA SANA MITAA YA MIDLANDS NA YORKSHIRE KWA KAZI ZAO NZURI NA MIFANO WALIYOIONYESHA.CIPHA HEADZ ILISHAFANYA KAZI NA WASANII MBALI MBALI HAPA UK.KWA MFANO WA HARAKA TU CIPHA HEADZ HIVI KARIBUNI WAME PRODUCE DARK&DEADLY MIXTAPE YA--JUNY MAN--PIA CHE MIC ALI-KANA KWAMBA HAITOSHI.CIPHA HEADZ TAYARI ISHAKAMILISHA ALBAM YA JUNY MAN AMBAYO INASEMEKANA KUA INA LADHA YA PEPONI NA ITAKUA KITAA ANYTIME SOON.HUKU WAKIENDELEA KUTAYARISHA KAZI ZA WASANII WAO WENGINE.MBALI YA KUA CIPHA HEADZ NI CAMP SUGU,BADO INAENDELEA KUGAWA HESHIMA SAWA KWA WATU WOTE BILA YA KUANGALIA TOFAUTI ZA KIDINI NA KIKABILA.NA KAMA KUNA MSANII YEYOTE AMBAE ANACHUKIA.AU
KUA DISAPOINTED NA KAZALIKA...CIPHA HEADZ RECORDS IS THE PLACE TO BE.
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU CIPHA HEADZ.
TEMBELEA.
facebook.com/ciphaheadz.
OR STAY TUNE WITH US TUTAKURUSHIA MICHAPO LATEST KUHUSU CIPHA HEADZ
MTAMBUE CHE MIC ALI...KUTOKA { M.2.S }
Ali Mussa..a.k.a CHEMICALI ALI a.k.a CHEMICALI...........Chemicali Ni mmoja kati ya Wasanii machachari wa Kiswanglish waiishio Nchini Uiengreza..Chemicali alianzia safari yake ya kimziki ndani ya East London akiwa mmoja kati ya memba wa N.T.Y Crew.ambayo ilianzishwa huko East London.Akiwemo Juny Man na mmoja kati ya Wasanii wa zamani (Dj Q ) kutoka katika kundi la ( Struggling Islanders )liloanzishwa ZANZIBAR kwenye miaka ya tisiini (90).Kutokana Na Chemicali Kujikuta akifanya kazi kwa mmoyo 1.Bila ya Mafanikio Yeyote ispokua kumnufaisha mtu 1.Kwa maslahi ya walo wengi..bila yeye kuridhishwa na Utendaji huo,,Hapo ndipo alipojikuta Akikorofishana na Memba wenzake wa N.T.Y na Kuekwa kwenye Black List,Kitu ambacho Chemicali alikichukulia ni kama cha Kawaida.kwani alishajipanga kikamilifu Tangu mwanzo wa Safari yake.kisa alijua kua Kuengezeka kwa Wapinzani..ndio Pressure pekee ya kupiga hatua nzuri na kubwa kwake.Hafla hali ikabadilika Bila Kujijua,Chemicali Alijikuta Hafla Ndani ya Kambi ya M.2.S,,,Chama ambalo Lilianzishwa Chini ya Uwongozi Mkali wa JUNY MAN,,Wakishirikiana na CIPHA HEADZ RECORDS...punde 2 Baada ya N.T.Y,,,Kusambaratika... Kutokana na Hali Ilivyokua Ikitetereka...Chemicali alidondosha ALBUM CHAPTTER.VOLL..1 iitwayo ( BEHIND DE SCENE )wakati akiwa Kama ni Staar* Mitaani..Ikaonekana kama haitoshi,Sasa Chemicali Anakuja na Ujio Mpya Baada ya kumaliza Album,,Na sasa Mixtape ya M.2.S iko Jikoni iitwayo DA KILLIN SEASON.Chini ya King Simba Mamba Mwenyewe JUNY MAN.Bila kueko mbali ya zake Tanzy.1(HUNGA),,,Chemicali bado anazidi kua haluli ya Wapinzani na Ushindi kwa wanyonge.kwa Maelezo zaid kuhusu Juny Man,Chemicali Ali na Tanzy.1.(HUNGA)Log on
www.youtube.com/chemicali1
http://www.facebook.com/home.php?#!/chemicali
http://www.m2s4real.blogspot.com/
http://www.hungaz.blogspot.com/
Tuesday
JUNY MAN NA KITAA....GUUMZO KWA MITAA
MBALI YA KUA NI DA VOICE OF DA VOICELESS NA DEFFENLESS PEOPLE.BADJOUN a.k.aJUNY MAN MARA HII ALIJIKUTA AKIWA KAMA DA VICTIM OF DA SYSTEM HIMSELF. AKICHANGANYA MENGI ALIYOYASHUHUDIA NA YENYE KUMPA HASIRA.JUNY MAN ILIMBIDI AENDELEE NA SAFARI YAKE YA UTETEZI WA WANYONGE,BADO TUKIWA TUNAENDELEA NA SAFARI YETU YA {DARK& DEADLY}JUNY MAN AMEAMUA KUTUPA LADHA YAKE KWA KUTUDONDOSHEA TUNE IITWAYO ( SYSTEM) AMBAYO ITAFICHUA UKWELI NA KUWAUDHI WAHUSIKA.BILA YA KUKUPOTEZEA TIME YAKO,BOFYA HAPO JUU..UPATE LADHA NYINGINE YA DARK & DEADLY.NA PIA MUSISAHAU KUACHA COMMENTS NA QUESTIONS ZENU ZOTE TUNAKARIBISHA....
AHSANTENI
JUNY MAN KUJA NA SIFA ON..RELEASIN OF DARK & DEADLY MIX TAPE
BONYEZA HAPO JUU KUSIKILIZA SINGLE INAYOITWA SIFA-JUNYMAN feat KB
Kwa kifupi Tumepata taarifa baada ya kudokezwa na 'CIPHA HADZ MUSIC'(mwana muziki wa kizazi kipya) anaye julikana kwa jina la BAD JUNY a.k.a JUNY MAN aka JUBA JUNY.nanukuu maneno yake "Mitaani mwaka huu lazima wata ni jua mimi ni nani".Ikiwa anamaaanisha kwamba atawakilisha ipasavyo kwa kutoa MIX TAPE ambayo itakuwa kali kupita kiasi.Mwana huyu mwenye makazi yake pale LONDON.Anakubalika kwa sana2.kwa wale waliowahi kusikia single Ya MC.HUNGA Inayo itwa Streetwize miaka 5.iliyopita wana weza kumsikia jinsi alivyochana.
Katika MIXTAPE yake Zimetufika nyimbo chache 2 ili wana BLOG Wetu wapate kuonja ladha yake kabla hajaipakuliwa Rasmin.Nyimbo zilizo2fikia ni SIFA feat KB,NIACHE na SALA YA MWISHO believe me utaburudika si kitoto. Big up man na tutawakilisha M2S For Real...(M2S)Means "Monsters to Society" ni group linalo undwa na ma artists wengi yaaani ni kama Jeshi vile,nitawataja wachache 2 kwa leo hii Ambao ni....JUNY MAN,CHE MIC ALI,HUNGA na wengi wengineo. NI makamuzi ile vilivyooooo...stay tuned for more news
Subscribe to:
Posts (Atom)