Wednesday

IMETUBIDI TUFANYE KAZI UPYAA KWA AJILI YA FANZ...WA {KITAAA}

BZY RHYMZ__Feat...CHEMICALI
BAADA YA MIEZI KAZAA KUPOTEA WAMERUDI TENA HAPA NDANI YA OFISI ZETU NA KUTUELEZA KUWA BADO WANAENDELEA KUPATA MALALAMIKO KUTOKA KWA WAPENZI WAO WALO WENGI WA MZIKI HUU WA HIP-HOP...CHEMICALI ALIWASILISHA HOJA HII KUWA KILA SIKU HESHI KULALAMIKIWA NA KUAMBIWA KUWA WANATAKA IRUDIWE UPYA NYIMBO HIO AMBAYO YENYE MICHANO YA AINA PEKE YAKE.NA KUIFANYA UPYA KWA KUTUMIA BEAT TOFAUTI NA ILE YA MWANZO AMBAYO KAMA INAVYOSIKILIKANA APO JUUU...MWANZO YA HAYA YOTE KUANZA NI PALE FANS WA M.2.S WALIPOKUA WAKISUBIRI VIDEO YA SINGLE HIYO AMBAYO ILIWAGUSA SANA MASELA WENGI WA KITAAA...PASIPO NA JIBU KAMILI KUTOKA KWA CHEMICALI ALIJITAHIDI KUWAAMBIA FANZ WAKE KUWA YEYE ALISHIRIKISHWA 2 KWENYE NYIMBO HIO NA { BZY RHYMZ } MSANII AMBAYE MWENYE MAKALI ZAIDI YA WEMBE ANAETOKEA  KULE{ ZANZIBAR ISLAND } NA HAWANA AU HAWAKUPATA RUHUSA YEYOTE KUTOKA KWA MMILIKI WA BEAT HIYO AMBAYE NI { SNOOP DOGG }..KWANI WAO WALIICHUKULIA SINGLE HIYO KAMA NI MOJA 2 YA NYIMBO AMBAZO ZINAPATIKANA KWENYE MIX TAPE YA 507....ILA KWA KUWAJALI FANZ CHEMICALI TAYARI AMESHAWASILIANA NA BZY RHYMZ..NA MUDA SI MREFU MTAINYAKA HEWANI VIDEO YA NYIMBO HIYO AMBAYO ITAKUJA KWA JINA LILE LILE LA {WAKALI WA MTAAA }ILA ITASKIKA KWA BEAT TOFAUTI......JST KEEP VISITIN DE M.2.S SITE nawatakia ustahamilivu mwema.

No comments:

Post a Comment