Friday

HATIMAYE SOLO THANG...KUINGILIA KATI {BEEF} LA JUNY MAN AND DJ-Q

SOLO THANG{ULAMAA}

JAMANI ndugu zangu taratibuni,Mnakolekea ni mbali mno
Mlikua marafiki na ndugu wa karibu mno,
kinachonistaajabisha mwatukanana mno...

MATUSI,VITISHO,MAJIGAMBO hayana mana,

Mnampa nani faida?..hayo sio mambo..
Nyie washkaji,kukosana ipo na kuamehe...ana Ndio inavyotakiwa...ikishindikana kila mtu ale na hamsini zake..kimya kimya sio matusi,na vitisho mtakuja toana roho!
Nineamua kuingilia sababu wote nawajua kama ndugu zangu na tuliishi vizuri..PLIIZ naomba YAISHIE HAPA!

No comments:

Post a Comment