Wednesday

NDANI YA ''CIPHA HEADZ MUSIC'' RECORDING STUDIO



CIPHA HEADZ NI HEAVY WEIGHT SOUND ENGINEERS WENYE MAKAO MAKUU YAO PALE JIJINI BIRMIGHAM.JAHAZI HILI CHUMA..LISILOEZA KUWAMBA KIRAHISI LIPO CHINI YA UTAWALA WA WAPISHI{MAPRODUCER}WAKALI NA WA MFANO WAJULIKANAO KAMA FAROUK a.k.a DA BIG TUNEZ WIZARD ALONG SIDE K.B a.k.a KGB WA MAWE MANENE.WAPISHI HAWA WENYE EXPERIENCE YA UPISHI WA MAWE KWA ZAIDI YA MIAKA 10,WANAJULIKANA SANA MITAA YA MIDLANDS NA YORKSHIRE KWA KAZI ZAO NZURI NA MIFANO WALIYOIONYESHA.CIPHA HEADZ ILISHAFANYA KAZI NA WASANII MBALI MBALI HAPA UK.KWA MFANO WA HARAKA TU CIPHA HEADZ HIVI KARIBUNI WAME PRODUCE DARK&DEADLY MIXTAPE YA--JUNY MAN--PIA CHE MIC ALI-KANA KWAMBA HAITOSHI.CIPHA HEADZ TAYARI ISHAKAMILISHA ALBAM YA JUNY MAN AMBAYO INASEMEKANA KUA INA LADHA YA PEPONI NA ITAKUA KITAA ANYTIME SOON.HUKU WAKIENDELEA KUTAYARISHA KAZI ZA WASANII WAO WENGINE.MBALI YA KUA CIPHA HEADZ NI CAMP SUGU,BADO INAENDELEA KUGAWA HESHIMA SAWA KWA WATU WOTE BILA YA KUANGALIA TOFAUTI ZA KIDINI NA KIKABILA.NA KAMA KUNA MSANII YEYOTE AMBAE ANACHUKIA.AU

KUA DISAPOINTED NA KAZALIKA...CIPHA HEADZ RECORDS IS THE PLACE TO BE.
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU CIPHA HEADZ.
TEMBELEA.
facebook.com/ciphaheadz.
OR STAY TUNE WITH US TUTAKURUSHIA MICHAPO LATEST KUHUSU CIPHA HEADZ

No comments:

Post a Comment