Tuesday
JUNY MAN KUJA NA SIFA ON..RELEASIN OF DARK & DEADLY MIX TAPE
BONYEZA HAPO JUU KUSIKILIZA SINGLE INAYOITWA SIFA-JUNYMAN feat KB
Kwa kifupi Tumepata taarifa baada ya kudokezwa na 'CIPHA HADZ MUSIC'(mwana muziki wa kizazi kipya) anaye julikana kwa jina la BAD JUNY a.k.a JUNY MAN aka JUBA JUNY.nanukuu maneno yake "Mitaani mwaka huu lazima wata ni jua mimi ni nani".Ikiwa anamaaanisha kwamba atawakilisha ipasavyo kwa kutoa MIX TAPE ambayo itakuwa kali kupita kiasi.Mwana huyu mwenye makazi yake pale LONDON.Anakubalika kwa sana2.kwa wale waliowahi kusikia single Ya MC.HUNGA Inayo itwa Streetwize miaka 5.iliyopita wana weza kumsikia jinsi alivyochana.
Katika MIXTAPE yake Zimetufika nyimbo chache 2 ili wana BLOG Wetu wapate kuonja ladha yake kabla hajaipakuliwa Rasmin.Nyimbo zilizo2fikia ni SIFA feat KB,NIACHE na SALA YA MWISHO believe me utaburudika si kitoto. Big up man na tutawakilisha M2S For Real...(M2S)Means "Monsters to Society" ni group linalo undwa na ma artists wengi yaaani ni kama Jeshi vile,nitawataja wachache 2 kwa leo hii Ambao ni....JUNY MAN,CHE MIC ALI,HUNGA na wengi wengineo. NI makamuzi ile vilivyooooo...stay tuned for more news
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment