Sunday

M.2.S TUMEPOKEA MPANGO MZIMA KUTOKA {Urban Pulse Creative}.

Ningependa kuwataarifu wadau wote kuwa video ya kuhusu tamasha la kuchangia utafiti wa Cancer Uk iko tayari na unaweza kuipiga chabo hapo JUU au kwa kubofya hiyo link hapo chini.
http://www.youtube.com/watch?v=wqt9Gpw2u64&feature=player_embedded
Mgeni rasmi alikuwa Msanii Mahiri Lady Ny ikiwa ni kusaidia kufanya harambee yakusaidia kuchangia Cancer Reserch UK kwa pamoja. Pia wasanii wa Urban Pulse walikuwepo na wengine kutoka sehemu mbalimbali walijitolea kujumuika katika tamasha hilo.

Hivyo basi kwa unyenyekevu mkubwa, heshima na taadhima zote utawala wa Urban Pulse Pammoja na M.2.S unawaomba na kuwasii wale wote ambao Mwenyezi Mungu Kawabariki na kuwagusa
Kuchangia kiasi chochote kupitia tovuti yao halisi ya Cancer Research Uk www.cancerresearchuk.org.
Wote Mbarikiwe.

No comments:

Post a Comment