Wednesday
MTAMBUE CHE MIC ALI...KUTOKA { M.2.S }
Ali Mussa..a.k.a CHEMICALI ALI a.k.a CHEMICALI...........Chemicali Ni mmoja kati ya Wasanii machachari wa Kiswanglish waiishio Nchini Uiengreza..Chemicali alianzia safari yake ya kimziki ndani ya East London akiwa mmoja kati ya memba wa N.T.Y Crew.ambayo ilianzishwa huko East London.Akiwemo Juny Man na mmoja kati ya Wasanii wa zamani (Dj Q ) kutoka katika kundi la ( Struggling Islanders )liloanzishwa ZANZIBAR kwenye miaka ya tisiini (90).Kutokana Na Chemicali Kujikuta akifanya kazi kwa mmoyo 1.Bila ya Mafanikio Yeyote ispokua kumnufaisha mtu 1.Kwa maslahi ya walo wengi..bila yeye kuridhishwa na Utendaji huo,,Hapo ndipo alipojikuta Akikorofishana na Memba wenzake wa N.T.Y na Kuekwa kwenye Black List,Kitu ambacho Chemicali alikichukulia ni kama cha Kawaida.kwani alishajipanga kikamilifu Tangu mwanzo wa Safari yake.kisa alijua kua Kuengezeka kwa Wapinzani..ndio Pressure pekee ya kupiga hatua nzuri na kubwa kwake.Hafla hali ikabadilika Bila Kujijua,Chemicali Alijikuta Hafla Ndani ya Kambi ya M.2.S,,,Chama ambalo Lilianzishwa Chini ya Uwongozi Mkali wa JUNY MAN,,Wakishirikiana na CIPHA HEADZ RECORDS...punde 2 Baada ya N.T.Y,,,Kusambaratika... Kutokana na Hali Ilivyokua Ikitetereka...Chemicali alidondosha ALBUM CHAPTTER.VOLL..1 iitwayo ( BEHIND DE SCENE )wakati akiwa Kama ni Staar* Mitaani..Ikaonekana kama haitoshi,Sasa Chemicali Anakuja na Ujio Mpya Baada ya kumaliza Album,,Na sasa Mixtape ya M.2.S iko Jikoni iitwayo DA KILLIN SEASON.Chini ya King Simba Mamba Mwenyewe JUNY MAN.Bila kueko mbali ya zake Tanzy.1(HUNGA),,,Chemicali bado anazidi kua haluli ya Wapinzani na Ushindi kwa wanyonge.kwa Maelezo zaid kuhusu Juny Man,Chemicali Ali na Tanzy.1.(HUNGA)Log on
www.youtube.com/chemicali1
http://www.facebook.com/home.php?#!/chemicali
http://www.m2s4real.blogspot.com/
http://www.hungaz.blogspot.com/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment