Thursday

BERRY BLACK IS BACK...


The King ov zenji Flava aibuka tena na dongo lake jipya Nyumbani sio safi akimshirikisha msanii anaeibukia vikali ajulikanae kama Sultan king. wimbo huu ulitayarishwa ndani ya znz twn chini ya Producer mkali wa mjini hapo ajulikanae kama Aloneym, akijitayarisha na ziara yake ya keunda kimakamuzi nchini Uingereza,berry black anawaambia mafanz wake kua anakuja kivyengine na pia ni tofauti na alivyozoeleka. Enjoy the song...

No comments:

Post a Comment