Kama tayari inavyoeleweka kua M.2.S we dont rump, we dont play, this time tumekuja tena na ujio mwengine tofauti unajulikana kama AFRICARRIBIAN LINK ambao unashirikisha wasanii toka Africa na the Carribian. kwa mara nyengine tena Msanii Juny Man toa Tz, amekula shavu na The Carribian Connection akiwemo Bajan Mafia (Barbados), Remoh (Barbados) & Elnino (Jamaica).
Na kwa kuatobolea nyeti tu,,, huu ni mwanzo tu wa hii link ya Africarribian coz kuna matunda mengi yapo njiani na tayari yanakaribia kuiva, so wale wenzangu na mimi basi tukaeni mikao ya kula coz its about to get down. NO LONG TALK. Enjoy ur vid...
No comments:
Post a Comment