Kama miezi 12 iliopita, bikidude alipata nafasi ya kufree style baadhi ya bars chache kudhihirisha kua kama yeye ni True Legend na sio wa kuchovwa na mchina. Bikidude inasemekana kua ana umri wa kama miaka 107 alizaliwa kwa jina la Asha Baraka ndani ya Rahaleo Zanzibar, na alianzia safari yake ya kimziki akiwa na umri wa miaka 10 na hadi sasa anaendelea kutumbuiza jamii.
Bikidude ni mmoja kati ya wasanii wachache walioieka Zanzibar kwenye map kwa kutembelea nchi tofauti duniani.
No comments:
Post a Comment