Sunday

AFANDE SELE KUMUACHILIA SIMBA DUME BAADA YA UCHAGUZI MKUU.

AFANDE SELE {Baba Tunda}


Bongo Flava King, Seleman Msindi ‘Afande Sele’, ameibuka na kusema kuwa, anatarajia kutoa wimbo mpya unaokwenda kwa Jina la ‘Simba dume’ baada ya uchaguzi mkuu 2010.
Afande Sele anasema ameamua kutoa wimbo huo baada ya uchaguzi kutokana na wahusika wengi wa sanaa kuwa kwenye mishemishe za zoezi hilo.


‘Nimeamua kutoa wimbo huu baada ya uchaguzi kutokana na shughuli za kisiasa zinazoendelea kwani wahusika wengi wapo kwenye mchakato huo,’ alisema Afande Sele.

No comments:

Post a Comment