M.2.S wiv FANZ
FAMILY REUNION.Kwa mara ya Kwanza tangu mara ya Mwisho Juny Man akamua tena kwenye Stage ndani ya The Face Club, Reading Berks akiwa na kikosi Kamili cha {M2S}.Tamasha hilo la ukidhi mahitaji Liliandaliwa na Dj-Richie A.K.A mkali wa Sahani kwa Ajili ya Sherehe za { Eid Fittr }ambazo zilifanyika last Weekend Worldwide.kwa mara ya kwanza Juny Man alieza kujiunga na Kambi ya M.2.S na kufanya miujiza akishirikiana na Mataahira wenzake wa M2S { CHE MIC ALI-TANZY 01- na SAFI SOUNDZ }waliporomosha mvua ya mawe na kukata kiu za mashabiki wao.. Wasanii hao walipooulizwa na muandishi wetu JUNY MAN alisema ' Fanx God mambo yote kama kawa,na huu ni mwanzo tu,kuna mzuka utazuka na wengi Wataanguka.' CHE MIC ALI yeye Alisema kuwa 'Ukiona KICHWA MAMBA na MWILI ukiwa SIMBA.'basi Mgumba mlete lazima atabeba Mimba.''Tanzy 01 na Safi Soundz wao walisema kua ''Hawabishani na Maandiko na Hawafuati Mamluki''kisa wakati umefika sasa wa kurudi tena Mbele.''Stay tuned kwa maelezo zaidi juu ya M.2.S Mixtape..{ da killin season }
HAPA WAKIWA PA MMOJA NDANI YA PICHA YA UKUMBUSHO
HAPA WAKIWA PA MMOJA NDANI YA PICHA YA UKUMBUSHO
CHE MIC ALI and JUNY MAN